TAMBUA UGONJWA WA MENO:=
1.
Meno ni muunganiko wa
mfupa wa jino, Fizi na Mishipa.
ü
Maranyingi watu wengi huwa pale wanapoumwa na
jino wanakimbilia kung’oa jino eti dawa ya jino kuling’oa jambo ambalo si
kweli.
ü
Tambua ndugu yangu kuwa unapokwenda kung’oa jino unang’oa Mfupa sio Fizi wala mishipa
ambayo hakuna madhara kwa bakteria
anaesababisha jino kuuma.
ü
Tambua kuwa kwenye kinywa cha mwanadamu kuna
bakteria wanaoishi mdomoni wanaitwa
NORMAL FRALER. Baktria hawa ndio wanaotengeneza ute wenye Acid unaolainisha
chakula kwa haraka mdomoni. Na ndio kazi yao. Lakini wanasababisha ugonjwa
unaoitwa GINGIVAITES, ugonjwa huu husababisha fizi kutoa damu haswa unapopiga
mswaki, lakini ukiachwa ukawa sugu unasababisha
ugonjwa wake kuwa sugu na hujulikana kama MACHODIFECE ugonjwa huu
husababisha na hufanya meno kuoza, ama
kutoboka kutokana na bakteria
AFINOTOBALASAD ndio wanaosababisha na huwa wanaingia ndani kwenye fizi
kwa ajili ya kula damu. Hapo mtu huwa anaumwa na meno
ü TAFADHALI ZINDUKA
ü Ili kuondoa tatizo
hili, ni lazima uwaue hao bakteria na si
kong’oa jino kwani wadudu hao walivyo
unapong’oa jino moja wao huwa wanahamia jino jingine
ü DR UKOMBOZI
ANASEMA DAWA YA JINO SIO KUNG’OA BALI NI KUWATOA HAWA WADUDU TUMIA DAWA YETU TAJWA
HAPO JUU UPONE KWA UWEZO WA MUNGU.
No comments:
Post a Comment