Chukua MCHOLOCHOLE
Matumizi chemcha mzizi na ubani kidogo unywe nusu kikombe kutwa mara tatu kwa muda wa siku 1,3,5,7
Mtoto mdogo
Mpe kikombe cha kahawa kutwa mara tatu
Akiwa mtoto mdogo sana
Mpe kijiko cha chai kutwa mara tatu
WALLAHU AALAM MUNGU NDIO ANAJUA ZAIDI INSHAALLAH UTAPONA.
No comments:
Post a Comment