•Chukua majani ya MLONGELONGE yenye ujazo wa kilo gk 3 kisha yakaushe mpaka yakauke vizuri yaponde kwenye kinu na uyachekeche chukua VITUNGUU
SAUMU vyenye ujazo wa gram 250 vimenye na uvitwange kisha changanya na unga wa majani ya MLONGE
•MATUMIZI YAKE
•Chukua kikombe kimoja cha chai kilichojaa MAZIWA
FRESH au maji ya uvuguvugu chukua kijiko kidogo cha chai klichojaa unga wa dawa ambayo ni majani ya MLONGELONGE na VUTUNGUU SWAUMU koroga kwenye maziwa au maji ya vuguvugu kisha kunywa.
•Utafanya zoezi hilo kutwa mara tatu udumu kila siku mpaka dawa hiyo uliyoichanganya iishe
•Ushauri kwa mtu wa virusi vya ukimwi
No comments:
Post a Comment