KUWASHWA NDANI YA MWILI SEHEMU ZA SIRI
@ unachemcha UWATU unakunywa mara tatu kikombe cha kahawa,
@ B unachemsha mizizi ya MKAAKAA unakunywa marambili kutwa.
@C chukua majani ya MTULE uyasage, ukamulie NDIMU
uweke na CHUMVI
kidogo
Matumizi
Unywe nusu kikombe kutwa mara tatu.
MUNGU ATAKUSAIDIA INSHAALLAH.
WALLAHU AALAM MUNGU NDIO ANAJUA ZAIDI INSHAALLAH UTAPONA.
No comments:
Post a Comment