•Chukua jani kubwa la mti huu kisha lichokoe kwa kisu ule upande uliokata kisha ute wake au utomvu umiminie katika chombo safi chokoa mpaka kuonekane uwazi wa kutosha
•
•kisha chukua uji wa mahindi ambao ambao umeshapikwa, kisha mimina uji huo robo kikombe cha chai katika jani la Aloe vera kisha mimina uji huo ukiwa umechanganyika na ule utomvu wa Aloe vEra mimina wakati unachokoa baada ya ya kulikata jani hilo, kisha koroga vizuri.
•
•Matumizi
•Anywe mgonjwa wa wengu mara moja tu na anywe akiwa analikandakanda tumbo lake kwa mikono kwa muda wa dakika tano, lakini ukandaji huo usiwe kwa nguvu sana unashauriwa kutumia nguvi za wastani. Anzia kulia kwa tumbo lake ukiwa unaizungusha mikono yako pande zote za tumbo lake.
•Kuwa makini katika tiba hii kwani watu wengi hususan watoto ndio wenye tatizo hili sana. Mwenyezimungu akipenda tatizo lako hili litakwisha
No comments:
Post a Comment