•Mwathirika wa virusi vya ukimwi anatakiwa kula parachichi 1 x3 ikiwezekana adumu kula hivyo katika maisha yake yote.
•Akipenda mwenyezimungu atakupunguzia maumivu yako na utakuwa na afya kama watu wengine wasio na ukimwi {VVU} jamii inashauriwa kutokuwanyanyapaa waathirika wa ukimwi na {VVU} kwani wengine hupata ukimwi kwa sababu ambazo hazikuweza kujuilika.hivyo basi kama wewe umepata ukimwi usije ukajiona kuwa hauhitajiki tena kwenye jamii kwani jamii inakuhitaji maadam uko hai
No comments:
Post a Comment