Wednesday, November 26, 2014

IKIWA MUWASHO UPO KWA NNJE

Chukua  KIRUMBASI,CHUNVI, na NDIMU, ujipake sehemu zinazowasha

Kisha chukua MDATU utaupondaponda na uchanganye na MAFUTA YA NAZI, uchemshe mpaka majani yakauke kisha uyatoe hayo majani na mafuta yatayobakia  ujipake mahala panapowasha baada ya kupaka KIRUMBASI.

WALLAHU AALAM    MUNGU NDIO ANAJUA ZAIDI INSHAALLAH UTAPONA.

No comments:

Post a Comment