Wednesday, November 26, 2014

SPECIAL MOUTH DAWA YA MENO INAYOTIBU FIZI, MENO KUTOBOKA,UVIMBE N.K


www.kcctibaherbsresearch.blogspot.com www.kcckibaha.blogspot.com
DAWA YA MENO SPECIAL MOUTH:


TAMBUA UGONJWA WA MENO:=
1.       Meno ni muunganiko wa mfupa wa jino, Fizi na Mishipa.
ü  Maranyingi watu wengi huwa pale wanapoumwa na jino wanakimbilia kung’oa jino eti dawa ya jino kuling’oa jambo ambalo si kweli.

ü  Tambua ndugu yangu kuwa unapokwenda kung’oa  jino unang’oa Mfupa sio Fizi wala mishipa ambayo hakuna madhara kwa bakteria  anaesababisha jino kuuma.

ü  Tambua kuwa kwenye kinywa cha mwanadamu kuna bakteria  wanaoishi mdomoni wanaitwa NORMAL FRALER. Baktria hawa ndio wanaotengeneza ute wenye Acid unaolainisha chakula kwa haraka mdomoni. Na ndio kazi yao. Lakini wanasababisha ugonjwa unaoitwa GINGIVAITES, ugonjwa huu husababisha fizi kutoa damu haswa unapopiga mswaki, lakini ukiachwa ukawa sugu unasababisha  ugonjwa wake kuwa sugu na hujulikana kama MACHODIFECE ugonjwa huu husababisha na hufanya meno  kuoza, ama kutoboka kutokana na bakteria  AFINOTOBALASAD ndio wanaosababisha na huwa wanaingia ndani kwenye fizi kwa ajili ya kula damu. Hapo mtu huwa anaumwa na meno

ü   TAFADHALI ZINDUKA

ü  Ili kuondoa tatizo hili,  ni lazima uwaue hao bakteria na si kong’oa  jino kwani wadudu hao walivyo unapong’oa jino moja wao huwa wanahamia jino jingine

ü  DR UKOMBOZI ANASEMA DAWA YA JINO SIO KUNG’OA BALI NI KUWATOA HAWA WADUDU TUMIA DAWA YETU TAJWA HAPO JUU UPONE KWA UWEZO WA MUNGU.

10 comments: