•Chuma majani ya mjani huu wa mchaichai yenye ujazo wa gram 250 kisha chemsha maji yenye ujazo wa lita 2 ½ chemsha kwa muda wa dakika tano tu. Kisha yafunike kwa chombo safi kwa muda wa dakika 15.
•Hakikisha chai hii unakunywa kutwa mara moja tu nakushauri ufanye hivyo kila baada ya siku mbili na usiweke sukari.
•NB. Ikikushinda kuinywa changanya na asali mbili katika lita 2 ½ ml ya 125 ya asali mbichi.
No comments:
Post a Comment