Chukua maganda ya MKOMAMANGA kisha yachemshe kwa dakika 15 kwa ujazo wa maji lita moja moto wa 100% kisha jaza kwenye kikombe cha chai kisha chukua vijiko vya asali viwili changanya na ukoroge vizuri ikiwa bado ni ya moto, kisha iache ipoe kidogo halafu kunywa, fanya hivyo kutwa mara mbili kwa muda wa siku 21 mfululizo na kwa uwezo wa
mwenyezimungu inshaallah utapona maadhi yako
Maintained by an ICT consultant and Director of Studies: IFF YOU NEED HELP PLZ CALLA US VIA 0782 474941 0767 4749411 OR VIST www.kcckibaha.blogspot.com kcckimisha@gmail.com
Asante. Maganda kiasi gani?
ReplyDelete