•Chukua najani kilo 2 ya mkaratusi chemsha kwa muda wa dakika 35 kisha kunywa kikombe kimoja cha chai ikiwa bado haijapoa vuguvugu asubuhi na jioni.
•Kabla hujanywa hakikisha unajifukiza kwanza kisha ndio unywe
•Fanya hivyo kwa muda wa siku tano mfululizo.
•WALLAHU AALAM MUNGU
NDIO ANAJUA ZAIDI INSHAALLAH UTAPONA.
No comments:
Post a Comment