Thursday, November 27, 2014

TATIZO LA MOYO HUTIBIWA NA MKOMAMANGA

Chukua maganda ya MKOMAMANGA  kisha yachemshe kwa dakika 15 kwa ujazo wa maji lita moja moto wa 100% kisha jaza kwenye kikombe cha chai kisha chukua vijiko vya asali viwili changanya na ukoroge vizuri ikiwa bado ni ya moto, kisha iache ipoe kidogo halafu kunywa,  fanya hivyo kutwa  mara mbili kwa muda wa siku 21  mfululizo na kwa uwezo  wa mwenyezimungu inshaallah utapona maadhi yako

 Maintained by an  ICT consultant and Director of Studies:  IFF YOU NEED HELP PLZ CALLA US VIA 0782 474941 0767 4749411 OR VIST www.kcckibaha.blogspot.com kcckimisha@gmail.com

No comments:

Post a Comment