Wednesday, November 26, 2014

DAWA AINA YA UKOMBOZI HUTIBU BP, TAIFOD, MARARIA SUGU N.K

















                                                                                                                                                                                              


UKOMBOZI ORIGINAL
Hii ni dawa ambayo imechanganywa na mimea zaidi ya 10, kama vileHabat soda ya unga, manemane, kitunguu swaumu,Halititi  nk.
Dawa hii hutibu magonjwa sugu hata yale yaliyoshindikana mahospitalini kama vile kisukari, B.P Uzazi, kuondoa sumu ya kimazingara katika damu hasa ile iliyoingia katika mfumo wa damu ambayo imesababisha watu wengi kupoteza maisha yao.
Dawa hii inaingia kwa kasi katika damu, mishipa ya NUROSTISTEM ambayo ndio inafanya kazi kubwa katika mwili wa binadamu, inaungana na mishipa ya fahamu.
Tambua kuwa wagongwa wa maumivu yoyote katika mwili nikutokana na damu aidha chafu au safi
Kwa  maana hiyo watu wengi  wanakuwa  na maradhi kama vile  B.P kisukali uzazi yaan kutopata  mimba, nguvu za kiiume , mapepo au mashetan na vidonda vya tumbo , homa kali ya mara kwa  mara.ili
Tumia dawa hii UKOMBOZI ORGINAL  mamia kwa maelfu  wamepona . hata kama umepima  umegundulika  Unaugonjwa bado hii dawa  imetibu na unapewa uhakika  wa matibabu.
SHIFAA   MJARABU
Hii ni dawa ya majimaji iliyochemshwa kwa kuchanganjwa mizizi ya miti mbalimbli kama vile MJARAFU ,MPERA , MLINKO N.K.
Inatibu malaria ,tayford, sugu  na kuondoa sumu katika  mwili  wake .
ü  Tambua kuwa ili uwe  na afya na uwe mwanadamu  umetakiwa

No comments:

Post a Comment