Wednesday, November 26, 2014

DAWA YA MARALIA SUGU YA TUMBO NA KULISAFISHA TUMBO VIZURI MPARACHICHI


Chukua majani ya maparachichi kisha  yapondeponde {twanga kenye kinu}
kisha ufanye kama juisi na unywe glasi moja kutwa  mara mbili asubuhi na jioni
Fanya hivyo kwa muda wa siku tatu tu.3
WALLAHU AALAM    MUNGU NDIO ANAJUA ZAIDI INSHAALLAH UTAPONA.

No comments:

Post a Comment