•Mmea huu unafanana sana na KATANI au MNANASI, kata jani moja tu la ALOE
VERA kisha dondoshea utomvi wake kwenye glasi kadiria vijiko 2 au 1 cha chakula kisha jaza maji mpaka juu kisha kunywa glasi moja asubuhi na jioni fanya hivyo kwa muda wa siku tatu{3} tu.
No comments:
Post a Comment