SHIFAA
MJARABU
Hii ni dawa ya majimaji
iliyochemshwa kwa kuchanganjwa mizizi ya miti mbalimbli kama vile MJARAFU
,MPERA , MLINKO N.K.
Inatibu malaria ,tayford,
sugu na kuondoa sumu katika mwili
wake .
ü Tambua
kuwa ili uwe na afya nzuri na uwe
mwanadamu umetakiwa walau upate mara2
mbili kwa siku lakini watu weng huwa tatizo sana la kutopata choo wengine
huchukua siku hadi 2 bila kupata choo kikubwa hili ni tatizo
USHAURI WA DR
Uwe unakunywa
lita 1 asubuhi ukiamka kabla ya kula chochote
Uwe unakula
chakula cha asili na kunywa vinywaji vya asili chakula ugali wa dona
,mtama,uwele,muhogo n.k vinywaji juice
ya matunda utengeneze sio ya kiwandan
Hakikisha chakula
unachokula kwa siku walau 30% viwe visiopikwa kama matunda n.k
Pia uwe unafanya
mazoezi asubuhi unapoamka ili utoke jasho
Tumia dawa ya UKOMBOZi
ORGINAL ili uwone majaabu ya tiba asili
No comments:
Post a Comment