Thursday, August 21, 2014

Majibu na Malalamiko yako na mahitaji yako 0653 407
894
Page 1
NAMNA YA KUTUMIA PROGRAM HII KWA MTUMIAJI WA
KWANZA
Mtumiaji huyu mkuu Muuzaji au mtoa stoo wa kila sik
u atakuwa na uwezo wa kufanya
yafuatayo:
Kusajili bidhaa zote alizo nazo katika biashara yak
e bila kujali aina ya bidhaa
Kurekebisha taarifa za biidhaa zake kulingana na ma
pokeo ya stock mpya au taarifa
zozote zinazohusiana na bidhaa husika.
Kuuza au kutoa mzigo stoo kulingana na hali inavyot
aka
Kuangalia idadi ya bidhaa zilizobaki kila siku asub
uhi pale anapofungua
Kuangalia bidhaa ambazo ziku zake za kuisha kazi zi
mekaribia kila siku asubuhi.
YOTE HAYA YANAFANYIKA KAMA IFUATAVYO
A.
KUANZISHA MFUMO HUU/PROGRAM KATIKA COMPYUTA YAKO.
i)
Fungua program yako katika compyuta yako moja kwa m
oja kwa kutumia icon
ambayo ipo kwenye desktop yako. (
SBT MAUZO VER 2.4
)
ii)
Baada tu ya kucklik mara mbili (double click ) utao
na uwanja kama huu hapa chini

No comments:

Post a Comment